Genesis 32:22

Yakobo Ashindana Mweleka Na Mungu

22 aUsiku ule Yakobo akaamka akawachukua wake zake wawili, watumishi wake wawili wa kike na wanawe kumi na mmoja na akavuka kivuko cha Yaboki.
Copyright information for SwhNEN